• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KATUNZENI VYANZO VYA MAJI

Posted on: November 24th, 2021

Katibu Tawala masaidizi,utawala na  Rasilimali watu Mkoa wa Arusha Bwana David Lyamongi amezita kamati za kutoka huduma za Maji ngazi ya jamii kusimamia kikamilifu ukusanyaji na matumizi ya fedha za Maji.

Ameyasema hayo alipokuwa akifungua kikao kazi cha  wadau na vyombo vya watoa huduma ya Maji ngazi ya jamii kwa Mkoa wa Arusha kwa niaba ya Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia.

Kamati hizo ziliundwa baada ya Serikali kuona kuna umuhimu wa kuwa na vyombo vya kusimamia miradi ya Maji ambayo serikali imewekeza kiasi kikubwa cha fedha na miradi hiyo mingi huaribika na mingine kutokamilika.

Hivyo Serikali ilipofika mwaka 2019 ikaona kuna umuhimu wa kuanzisha kamati hizo kwa kila halmashauri ili ziweze kusimamia miradi hiyo kwa karibu na kuilinda ili iendelee kutoa Maji.

Pia, amezitaka kamati hizo kufuata Sheria na taratibu za utoaji huduma za Maji ili kuwarahisishia wao kuweza kuwafikia wananchi wengi na kwa urahisi.

Sambamba  na hayo amezitaka kamati hizo kuendelea kulinda vyanzo vya Maji katika maeneo yao dhidi ya uchepushaji wa Maji unaofanywa na wakulima, wafugaji , pia ukataji miti  hovyo na uchafuzi wa vyanzo vya Maji.

Kwa kufanya hivyo vyanzo vingi vya Maji vitaweza kutoa Maji ya kutosha kwa wananchi.

Kamati hizo pia zinatakiwa kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi ili waelewe umuhimu wa kutumia Maji salama, kupima Maji na kupata taarifa sahihi za Maji.

Aidha, amesema Serikali imejiwekea mkakati ifikapo mwaka 2025  utoaji wa Maji  vijijini ufikie asilimia 85.

Nae, Meneja wa Wakala wa Maji na usafi wa mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Arusha Mhandisi Emmanuel Makaidi, amesema lengo kubwa la kikao kazi hicho ni kujengeana uwelewa wa pamoja kuhusu namna ya utoaji huduma nzuri za Maji.

Pia kuweza kuzifahamu changamoto za wadau hao  na vyombo hivyo ili Serikali ikishirikiana na wadau ione namna ya kuzitatua na kuweka mazingira rahisi ya upatikanaji  wa Maji kwa wananchi.

Amesema hadi sasa Serikali imetoa fedha nyingi katika miradi ya Maji kwa awamu tatu, ya kwanza Bilioni 600 ziliwekwa kwenye bajeti ya RUWASA na awamu ya pili Bilioni 207 ziliongezwa na awamu ya tatu, zaidi ya Bilioni 3.5 zimetolewa  kutoka mpango wa maendeleo kwa ustawi  wa Taifa na mapambano ya UVIKO 19.

Amesisitiza kuwa changamoto za kamati hizo ni muda sasa wakuzigeuza kuwa fursa ili kuweza kuboresha zaidi usimamizi wa miradi hiyo.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa