• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KAYA 44 KUTOKA NGORONGORO ZAAGWA KUHAMIA MSOMERA.....

Posted on: January 14th, 2024

Na Mwandishi wetu, Karatu Arusha.


Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inaendeleea na zoezi la kuhamisha wenyeji waishio ndani Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waliojiandikisha kuhama kwa hiyari ambapo leo tarehe 12 Januari, 2024 Jumla ya kaya 44 zenye watu 296 na mifugo 1,206 zimeagwa rasmi.


Wakati akiwaaga wananchi hao katika ofisi za NCAA Karatu Mkoani Arusha, Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Bw. Richard R. Kiiza  amewaomba wananchi waliondoka leo kuwa mabalozi na kuwaelimisha wale ambao bado hawajiandikisha kuona faida za kuhama ili waweze kupata nafasi ya kutumia fursa hii kujiendeleza na kuwa na maisha bora.


"Wenzenu waliokwisha hamia Msomera na maeneo mengine wanaendelea kupata maisha bora kutokana na kujengewa na kuboreshewa huduma zote muhimu za Kijamii na walio wengi wameshaanza shughuli za Kilimo na wanategemea kupata chakula cha kutosha" ameongeza Kiiza.


Akitoa taarifa ya maendeleo ya zoezi hilo  Kamishna Msaidizi Mwandamizi Fedes Mdala ambaye ni Meneja wa mradi huo amesema  kuwa hadi kufikia leo tarehe 12/01/2024 jumla ya kaya 1,069 zimejiandikisha kuhama kwa hiyari ndani ya Hifadhi  ambapo kati  ya kaya hizo kaya 633 zenye watu 3,526 na mifugo 16, 896 zimeshahama kutoka ndani ya hifadhi.


Akitoa shukrani kwa niaba ya wananchi wanaohama Bw. Wilfred Makamero ameeleza sababu zilizomfanya akubali kuhama kwa hiyari na kusema “Naishukuru Serikali  kwa kutupatia huduma zote za maendeleo kwa kipindi chote ambako tumeishi hifadhini mpaka sasa tunapoamua kuhama kwa hiyari yetu kuelekea Msomera ili tukapate fursa ya kujiendeleza wenyewe tofauti na tulivyokuwa hifadhi kwani shughuli za kimaendeleo kama kulima haziruhusiwi” amesema Bw. Makamero.


Kwa upande wake Bibi Inoti Moses aliongezea kwa kumshukuru Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa fursa ambayo wameahidi kuitumia vizuri ili kupata maendeleo na kuziendeleza familia zao.


Zoezi hili la kuhamisha wenyeji wanaoshi ndani ya Hifadhi kwa hiyari ni endelevu ambapo zoezi la uandikishaji linaendelea na wanapewa fursa ya kuchagua mahali popote wanapotaka kwenda au kwenda kwenye maeneo yaliyotengwa na serikali Msomera Wilaya ya Handeni, Kitwai Wilaya ya Simanjiro na Saunyi Wilaya ya Kilindi.




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa