• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MAAFISA KAZI WATAKIWA KUFANYA UKAGUZIWA MARA KWA MARA KWENYE MAENEO YA MIGODI NA VIWANDA

Posted on: August 31st, 2024


WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Watu Wenye Ulemavu ,Ridhiwani Kikwete, amewaagiza Maofisa Kazi, kufanya kaguzi za mara kwa mara kwenye maeneo ya kazi, ikiwemo viwanda na migodi ili kubaini mapungufu yaliyopo na kuchua hatua stahiki.



Ridhiwani aliyasema hayo jana Jijini Arusha wakati wa akifungua Kikao Kazi cha Maofisa Kazi kutoka mikoa yote Tanzania Bara ,kilichoandaliwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na kuwataka Maofisa hao kukagua maeneo ya viwanda na migodi kwani kumekuwa na malalamiko ya ukosefu wa vifaa vya kazi huku wengine wakifanya kazi kwenye mazingira magumu.



 Amekuwa akipokea malalamiko mengi ya wafanyakazi kutoka kwenye migodi wakikabiliwa na mazingira magumu ya kazi,hivyo kuwataka kuweka  utaratibu wa kunywa maziwa baada ya kazi kutokana na mazingira halisi yaliyopo,  malalamiko ambayo hayana majibu, nendeni mkafanye ukaguzi na kutatua kero hizo".Amesema



Alisema pia vibali vya kazi haswa  baadhi ya maeneo hususan Mkoa wa Dar es Salaam kwani yapo  malalamiko kuna watu wanaingizwa kinyemela bila kuwa na vibali vya kazi jambo hilo halikubaliki na wajue wanaikosesha serikali mapato lakini pia wanawanyima haki watanzania wenye sifa stahiki katika baadhi ya kazi



"Mfano kunabaadhi ya maeneo nafasi ya Ofisa Rasilimali Watu amejiriwa kutoka nje ya nchi  na kazi ya HR ni kutambua watu anaofanya nao kazi sasa inakuwaje unakuwa na ofisa asiye mtanzania kwenye kazi ,hebu maofisa kazi timizeni makujumu yenu,nyie mwenzenu mimi hakuna mkubwa hapa zaidi ya Rais Samia Hassan Suluhu "



Alisema inashangaza kuona baadhi ya viwanda kwenye mikoa mbalimbali haswa Mkoa wa Dar es Salaam kunaofisa rasilimali watu (HR) amejiriwa kutoka nje  ya nchi ,unajiuliza ameajiriwa kwa kigezo gani na  kwanini asiajiriwe ofisa kutoka ndani ya nchi ambaye anajua mazingira husika ya nchi yake.



"Niambieni mazingira yenu mnayofanyia kazi kama kunachangamoto semeni hata mtu amepata kibali  cha kazi na hukijui semeni ,najua kunavibali feki lakini mkivibaini semeni na nyie maofisa kazi mnawajibu huo na kila mwezi  nipewe taarifa za hali za kazi ili tujue kunashida gani na kuzifanyia  kazi kupitia mikoa yenu mnayosimamia"



Naye Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF),Dk,John Mduma alisema mfuko huo unaendelea kulipa fidia kwa wafanyakazi,wategemezi  lakini pia wanaendelea kujiimarisha kwa kutuma mitandao na sasa huduma wanazozitoa zipo kieletroniki ili kuhakikikisha wateja wanafurahia huduma bora.



Alisisitiza pia WCF inpokea maombi ya vibali vya  kazi na mada mbalimbali zitatolewa kwa washiriki hao katika kuboresha utendaji kazi wa Mfuko huo



Wakati huo huo,Mkuu wa Huduma za Sheria kutoka WFC,Abraham Siyovelwa alisema urekebishwaji wa Sheria ya fidia kwa wafanyakazi utasaidia kulinda zaidi maslahi ya wanufaika  ikiwemo kuweka mazingira bora ya kupata vigezo  pia pale mfanyakazi akipata ajali akiwa kazini atalipwa fidia hadi mwisho wa maisha yake .


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa