• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MAKONDA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAANDALIZI YA MEI MOSI KITAIFA...

Posted on: April 27th, 2024

Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ametoa wito kwa wakazi wa mkoa huo na viunga vyake kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani (Mei mosi) inayotarajiwa kufanyika kitaifa Mei 01.2024 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha

Makonda ametoa wito huo leo, Jumamosi Aprili 27.2024 alipokuwa kwenye kikao kazi cha maandalizi kuelekea siku ya wafanyakazi Duniani kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha ambapo amesema uwepo wa shughuli hiyo ya kitaifa mkoani humo ni fursa kubwa kwa wakazi wake, na kwamba  katika kuchangamkia fursa hiyo uongozi wa mkoa huo umeandaa eneo maalumu (Barabara) kando ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa ajili ya kutumiwa na wajasiriamali mbalimbali kufanya biashara zao


Amesema uwepo wa siku hiyo (Mei mosi) unaashiria uhuru na haki za wafanyakazi mahala pa kazi hivyo ni vyema wananchi wakatambua kuwa ushiriki wao utawaongezea morali watumishi katika kuihudumia jamii, ambapo katika hilo amewapongeza viongozi wa shirikisho la wafanyakazi nchini (TUCTA) kwa kazi kubwa wanayoifanya kuhakikisha siku hiyo inafana


Kwa upande wake Rais wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya amemshukuru Mkuu wa mkoa huyo kwa kuitisha kikao kazi hicho ambacho amedai kuwa kimeongeza msukumo na kasi kwa watumishi na wananchi kushiriki kikamilifu kwenye shughuli mbalimbali zinazofanyika mkoani humo kama sehemu ya shamrashamra za kuelekea siku ya wafanyakazi Duniani


Ametaja baadhi ya shughuli zinazofanyika kuwa ni pamoja na mashindano ya michezo ya aina mbalimbali yanayoendelea kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, maandalizi ya riadha maalumu ya Mei mosi, pamoja na maonesho yanayoendelea kwenye viwanja vya General Tyre yaliyoandaliwa na Wakala wa usalama na afya mahala pa kazi (OSHA - Occupational Safety and Healthy Authority) ambayo yanatarajiwa kufungwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko Aprili 28.2024

Naye, Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo amewaeleza wanahabari kuwa Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama mkoani humo li

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa