• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MALIZENI UJENZI WA MAJENGO YA VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI HARAKA

Posted on: April 19th, 2022

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia ameutaka uongozi wa Halmashauri ya Meru kuhakikisha ujenzi wa majengo katika vituo mbalimbali vya afya unakamilika na kuanza kazi mapema.

Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akikagua ujenzi wa majengo hayo alipofanya ziara  ya siku moja katika halmashauri hiyo.

Wananchi wanasubiri kupata huduma za afya katika vituo hivyo si vyema kama ujenzi utachukua muda mrefu na kusababisha usumbufu kwa wananchi.

"Hakikisheni vituo hivi vinakamilika kwa wakati na kuanza kazi ili kuwarahisishia wananchi kupata huduma kwa karibu".

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Meru Mwal. Zainabu Makwinya amesema  ukaguzi wa ujenzi katika halmashauri hiyo huwa unafanyika mara 3 kwa wiki hivyo imepelekea kasi ya ujenzi kuongezeka.

Aidha, amesema kwa ziara ya Dkt. Kihamia imewapa nguvu zaidi yakusimamia ujenzi wa vituo hivyo vya afya na ameaidi kusimamia maelekezo yote yaliyotolewa ili kuleta huduma bora kwa wananchi.

Nao, wajumbe wa kamati ya ujenzi ya kituo cha Afya Mareu Bi. Magdalena Israeli na Bi. Janeth Simoni wamemshukuru Rais Mama Samia kwa kutoa fedha za ujenzi wa kituo hicho cha Afya kwani kitapunguza hadha waliyokuwa wanaipata wanawake katika kupata huduma za afya.

Dkt. Kihamia amefanya ziara ya siku moja katika halmashauri ya Meru na kukagua vitua vya afya vitatu na hospitali ya Wilaya ili kujionea maendeleo ya ujenzi wa majengo yanayojengwa  katika maeneo hayo.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa