• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MALIZIENI MIRADI KWA HARAKA- RAS MISSAILE

Posted on: September 26th, 2022

KATIBU TAWALA MKOA WA  ARUSHA AFANYA ZIARA MERU ASISITIZA UMALIZIAJI WA MIRADI KWA WAKATI .


Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Musa amefanya ziara katika halmashauri ya Wilaya ya Meru,Wilayani Arumeru  ambapo amepongeza ujenzi wa miradi ya kituo cha afya Mareu na Maroroni na kuhimiza miradi hiyo kukamilika kwa wakati na kutoa huduma kwa wananchi .

Akizungunza wakati alipotembelea mradi wa Kituo cha afya Mareu, ambacho Serikali ya awamu ya Sita ikiongozwa na Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan ilitoa Milioni 500 fedha za tozo ya  Miamala ya simu kwaajili ya ujenzi wa Jengo pacha la mama na mtoto na upasuaji, jengo maabara, nyumba ya watumishi wa tatu

Wananchi takribani 121,912 wanatarajia kunufaika na huduma za Afya zitakazotolewa na kituo cha Afya Mareu katika kata ya King'ori malula, Kikatiti na Leguriki Wilayani Arumeru.

Majengo mbalimbali yamejengwa ikiwemo jengo la Mama na Mtoto, chumba cha upasuaji, jengo la mionzi, Maabara, vyumba ya watumishi na jengo la kufuria.

Bwana Missaile Musa amesema hatua iliyofikiwa ya ujenzi ni nzuri na Halmashauri ihakikishe majengo yanakamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.

Amesema wananchi wa kata 3 wanatarajia kupata huduma za Afya katika kituo hicho hivyo wajitaidi kumaliza ujenzi uliobaki.

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa (TAMISEMI) imenunua vifaa kwa ajili ya kituo hicho.

Kutokana na kukamilika kwake mapema itarahisisha huduma kuanza kutolewa kwa wakati.

Katibu Tawala amefanya ziara ya kikazi katika halmashauri ya Meru na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo vituo vya Afya na ofisi za tarafa.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa