Waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi Mhe. Deogratius Ndejembi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Ridhiwani Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, wakitembelea mabanda mbalimbali kusikiliza na kutatua kero za wananchi pamoja na kukagua utekelezaji wa kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia, leo Machi 06, 2025 Jijini Arusha ikiwa ni shamrashamra za kuelekea Machi 08, 2025 wakati Arusha itakapokuwa mwenyeji wa maadhimisho ya Kitaifa ya siku ya wanawake duniani.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.