• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MFUMO WA M-mama NI USAFIRI WA RUFAA YA DHARURA KWA WANAWAKE NA WATOTO NCHINI

Posted on: August 1st, 2024

Muuguzi Mkuu na Mratibu wa M-mama Mkoa wa Arusha,  Getrude Anderson akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa mfumo wa m-mama mkoa wa Arusha kwenye kikao kazi cha mwaka cha Tathmini ya utekelezaji wa mfumo wa huduma ya M - mama mkoa wa Arusha, kilichofanyika kwenye hoteli ya Corridor Spring Jijini Arusha mapema leo Julai 30, 2024.


Amesema kuwa, Mfumo wa m-mama ni mfumo wa usafiri na rufaa ya dharura kwa wajawazito na watoto ambapo mkoani Arusha ulizinduliwa mwezi Desemba, 2022 na tekelezaji wake  ulianza rasmi Machi, 2023.


Kwa tathmini ya jumla kipindi cha mwaka mmoja na miezi mitatu mkoa wa arusha umefanya vizuri kwa kufikia asilimia 92 kwa kusafirisha wagonjwa 5, 069 mkakati ambao umesaidi kupunguza vifo 19 kutoka vifo 64 na kufika vifo 48  sawa na asilimia 28.3 huku mkoa ukiwa na mkakati wa kufikia vifo sifuri.


Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea kuimarisha  na kuboresha vituo vinavyotoa huduma za Afya ya mama na mtoto huku mkoa wa Arusha ukitumia  mfumo wa m- mama ambao umekuja kurahisisha kupunguza vifo vilivyotokana na kukosekana kwa usafiri kwa wajawazito wakati wa kujifungua pamoja na usafiri wa dharura kwa kupiga namba 115


"Awali tulianza kwa kusafirisha wajawazito kutoka kwenye vituo vya afya na sasa tunaanza kusafirisha kutoka kwenye jamii kwenda kwenye kituo vya afya, huku jamii ikiendelea kupewa mafunzo ya huduma muhimu ya m-mama " Amesem Getrude


Aidha, amesema licha ya mafanikio makubwa bado kuna changamoto za uelewa wa jamii pamoja na baadhi ya Halmashauri kushindwa kuwalipa madereva kwa wakati, na kuzitaka halmashauri kuweka mpango mkakati wa kuwalipa maderva hao kwa wakati pamoja na kukaa vikao na madereva kwa kurejea mikataba na kuwapa elimu zaidi.


Wananchi wanatakiwa kutumia namba 115 kwa ajili ya huduma za m- mama huduma ambayo tayari Serikali imeshalipia gharama za usafiri kwa wajawazito kutoka kwenye maeneo yao na kufikia kwenye kituo cha karibu cha kutolea huduma za afya na hata pindi  atakapohitajika kwenda kwenye hospitali ya Rufaa.




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa