• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MWENGE WA UHURU 2024 KUPITIA MIRADI 65 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 611.6 ARUSHA

Posted on: July 18th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Mkoa wa Arusha unategemea kupokea Mwenge wa Uhuru 2024, siku ya Ijumaa tarehe 19 Julai, 2024,kwenye viwanja vya shule ya Msingi Migungani, Kijiji cha Migungani, Kata ya Mbuguni wilaya ya Arumeru, ukitokea Mkoa wa Manyara.


Ukiwa mkoani Arusha, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Godfrey Eliakimu Mnzava atakimbiza Mwenge huo wa Uhuru umbali wa Kilomita 1,189.35 , kwenye wilaya sita na halmashauri zote saba za mkoa wa Arusha, na kupitia jumla miradi 65 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi Bilioni 61. 6.


Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, ataweka mawe ya msingi miradi 18, atafungua mradi 1, atazindua miradi 12 na kutembelea miradi 34 ya katika sekta za Elimu, Afya, Maji, Miundombinu ya Barabara, Uwezeshaji vijana Kiuchumi, Biashara na Ujasiriamali, Lishe, Klabu za Vijana wapinga Rushwa, Makundi Maalum, Uhifadhi wa Mazingira pamoja na kutoa salamu na ujumbe wa Mwenge wa Uhuru katika halmashauri zote.


Aidha Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru atatembelea Miradi ya Maendeleo iliyowekewa mawe ya msingi na kuzinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka uliopita wa 2023.


Aidha, Mwenge wa Uhuru 2024, unaadhimisha kumbukizi ya 60 tatu, ikiwa ni pamoja na kuadhimisha Miaka 60 ya Mbio za Mwenge wa Uhuru, Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ukihamasisha watanzania wote kuimarisha na kudumisha Umoja na mshikamano kwa kuweka mbele uzalendo na kuilinda tunu ya amani ya nchi ya Tanzania.


Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024 ni "Tunza Mazingira, Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa ujenzi wa Taifa Endelevu", ukiwa na Jumbe za Kudumu za Mwenge wa Uhuru za Mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malari, matumizi ya  Dawa za Kulevya, VVU - UKIMWI na Rushwa sambamba na kuhamasisha wananchi kuzingatia Lishe Bora pamoja na kujiandaa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa