.Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda kwenye ukaguzi wa mabanda ya maonesho pembezoni mwa Kongamano la 15 la wataalam wa Ununuzi na Ugavi leo Jumanne Disemba 17, 2024 Jijini Arusha kwenye kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa