• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

OLE SABAYA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI ARUSHA NA MANYARA..

Posted on: December 13th, 2023

Na Elinipa Lupembe.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, Komred Loy Ole Sabaya, akizungumza kwenye mkutano wa hafla fupi ya ugawaji wa magari ya Afya, kwa mikoa ya Arusha na Manyara, kwenye ukumbi wa mikutano, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,  leo 13 Desemba, 2023.


Ole Sabaya, ikiwa ni mara yake ya kwanza kukutana na hadhara ya Watumishi wa Umma, tangu kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, ametumia wasaa huo kuwashukuru na kuwapongeza, watalamu kwa kazi nzuri ya usimamizi na utekelezaji wa shughuli za maendeleo za mkoa wa Arusha,kuanzia ngazi ya kijiji, kata, tarafa, wilaya hadi mkoa.


Amesema kuwa, wananchi kwa sasa, wanashuhudia kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita, chini ya uongozi mahiri wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, maendeleo yamefika kila kona huku wananchi wakiendelea kunufaika na miradi iliyojengwa kwenye maeneo yao


Aidha amewashukuru viongozi wa Chama na Serikali pamoja na watalamu kwa ushirikiano mkubwa baina yao, unaosababisha amani na utulivu  katika mkoa wa Arusha kwa sasa, jambo linalosababisha wanaArusha kujikita kwenye shughuli za uzalishaji mali na sio migogoro.


"Ninakupongeza sana Mkuu wa mkoa, Mhe. Mongella, umekuwa kiongozi mwadilifu mwenye kuunganisha watu unaowaongoza, umekuwa kiungo kati ya viongozi wa  Chama,  Serikali na wananchi pia, tuendelee kushikamana ili kuwahudumia wananchi, ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi, chama ambacho ndio kimeshika dola kwa sasa". Amesisitiza Ole Sabaya


Hata hivyo, Mwenyekiti huyo, ameweka wazi kuwa, katika mkoa huo, bado kuna changamoto ya miundombinu mibovu ya barabara, jambo linalosababisha kero kwa wananchi kwa baadhi ya maeneo na kumuomba Mhe. Waziri OR- TAMISEMI, kupitia Wakala wa barabara TARURA, kuongeza nguvu katika matengenezo ya barabara pamoja na ukamilishaji wa miradi viporo ya barabara.


"Mhe. Waziri nikuombe utusaidie kufanya matengenezo ya barabara ambazo hazipitiki lakini zaidi kukamilisha miradi ambayo iko kwenye utekelezaji, yapo maeneo ambayo bado hayapitiki na kusababisha kero kwa wananchi, tunaomba utusaidie kutatua ama kupunguza changamoto hii". Amesisitiza Mwenyekiti huyo


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa