• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RAS ARUSHA AKUTANA NA WAMILIKI WA VITUO BINAFSI VYA AFYA MKAO WA ARUSHA...

Posted on: November 7th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Albano Musa amekutana  na Wamiliki wa vituo binafsi vinavyotoa huduma za Afya Mkoa wa Arusha kwa lengo la kufahamina na kujadili changamoto zinazowakabili katika utoaji huduma hao.

Musa amesisitiza umuhimu wa ushirikiano katika baina yao na serikali katika shughuli zote za utaoji huduma za afya, ili kufikia lengo la serikali za kuhudumia wanannchi.

Amesema kuwa, serikali inatambua na kuthamimi kazi kubwa inayofanywa na watoa huduma za afya, kwa kuwa kazi hizo zinaongeza uwanda wa utoaji huduma kwa wananchi, huduma ambazo zingetolewa na serikali

Aidha amekumbusha umuhimu wa kuzingatia sheria,,kanuni, taratibu na miongozi ya utoaji huduma zinazotolewa na Serikali ili kutoa huduma bora kwa wananchi zinazozingatia taratibu za uendeshaji wa vituo binafsi za utoaji huduma.
 
"Serikali na watoa huduma binafsi, wanafanya kazi moja, tunapokutana, licha ya kujadili mustakabali wa huduma za afya kwa jamii, inatupa fursa ya kubaini changamoto zinazokabili sekta ya afya na kupata muafaka wa namna ya kuzitatua kwa pamoja, jambo la muhimi ni kutambua  kuwa  sote tunalenga kuwahudumia wananchi hivyo ni muhimu kufuata miongozo mbali mbali inayotolewa na serikali"

Awali Wadau hao wametoa changamoto zao juu ya matumizi ya sasa mifumo ya afya, ikiwemo upatikanaji wa leseni pamoja na utoaji wa taarifa kupitia  mfumo na kuiomba serikali kuboresha mifumo hiyo ili iwe rahisi katika utekelezaji wa majukumu yao.

Wameweka wazi kuwa mabadiliko ya taratibu ya matumizi ya mifmo katika sekta hiyo, bado mifumo inachangamoto, jambo ambalo linachelewesha utoaji na upatikanji wa huduma kwa haraka ikiwemo upatikanaji wa leseni pindi inapokwisha muda wake.
 
 Hata hivyo kikao kazi hicho kimetoa fursa licha ya kufahamiana na kujadili changamoto, kimetoa fursa ya kubadilishana uzoefu na kuwa na uelewa wa pamoja katila kutoa huduma za afya kwa jamii ndani ya mkoa wa Arusha.

Katika kikao kazi hicho, kimekutanisha  zaidi ya wamiliki  200  wa vituo binafsi vya afya na kupanga kuwa vikao hivyo vya mara kwa mara kwa mwaka.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa