• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RAS ARUSHA AZIAGIZA HALMASHAURI KUONGEZA KASI YA KUKUSANYA MAPATO

Posted on: June 18th, 2024


Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Albano Musa ameiagiza halmshauri ya  Arusha kuongeza kasi zaidi katika kukusanya mapato na  madeni sambamba na utekelezaji wa Miradi kwa Wakati.

Maagizo hayo yametolewa na Katibu Tawala huyo kwenye kikao cha kupitia hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kwa mwaka 2022/23.

Aidha, amesisitiza lazima ukusanyaji wa mapato uongezwe ili kuhakikisha madeni yote yanayodaiwa na wazabuni, watumishi ikiwemo miradi ya maendeleo kwa wananchi Kutekelezw.

"Hongereni kwa kupata hati safi lakini nawasihi mjikite zaidi katika ukusanyaji wa mapato sanjari na ulipaji wa madeni na utekelezwaji wa miradi iliyopo". Amepngeza Katibu Tawala.

Naye Diwani wa Kata ya Olmotinyi, Mhe. David  Kinisi amehoji ni kwanini vifaa tiba vilivyonunuliwa  na Serikali kwa zaidi ya shilingi milioni 300 kama x-ray , vifaa vya maabara viwepo katika vituo vya afya kwenye halmshauri hiyo lakini vinashindwa kufanya kazi kwasababu ya ukosefu wa umeme.

Ambapo Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dkt. Japhet  Champanda amekiri uwepo wa vifaa tiba hivyo kwenye baadhi ya vituo vya afya lakini changamoto kubwa ni ukosefu wa umeme na kuomba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Arusha kupeleka umeme kwenye baadhi ya vituo vya afya na zahanati ili huduma  za afya  zinazostahiki kutolewa kwa wananchi ziweze kutolewa.

Awali Mwekahazina wa Halmashauri hiyo, Tiddo Morio  amesema halmshauri hiyo inajumla ya hoja 29 kwa mwaka wa fedha 2022/23   ambapo hoja 20 zimefungwa  ya kubaki na hoja tisa .

May be an image of 1 person and dais

May be an image of 4 people and text

May be an image of 9 people, table and dais

May be an image of 2 people and dais

May be an image of 1 person

May be an image of 2 people

May be an image of 4 people, people studying and text

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa