• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKALLA AHIMIZA USHIRIKIANO KWA TAASISI ZA UMMA KATIKA  KUWATUMIKIA WANANCHI ARUSHA..

Posted on: September 1st, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.CPA Amos Gabriel Makalla @amosmakalla amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu  wa Taasisi na Mashirika ya Umma Mkoa wa Arusha, Mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisini ya Mkuu wa  Mkoa mchana wa leo Agosti 29,2025.


Katika kikao kazi hicho chenye lengo la kufahamiana, CPA Makalla amewasisitiza Wakuu hao, umuhimu wa kushirikiana katika kutimiza majukumu yao ya  kuwatumikia wananchi, ambayo ndio matarajio na malengo ya Serikali katika mkoa wa Arusha.


"Kama Viongozi wa Taasisi za Umma lazima tufanye kazi  kwa bidii ili wananchi wapate huduma stahiki pamoja na kutambua umuhimu wa Taasisi hizo katika maeneo yao.


Aidha ameziagiza Taasisi zinatoa huduma za msingi za jamii ikiwemo maji, umeme na miundombinu ya barabara, kujipanga kikamilifu kukamilisha ujenzi wa miundombinu kwenywe eneo linalojengwa uwanja wa Mpira wa miguu ikiwa ni maandalizi ya  mashindano ya mpira wa miguu barani Afrika, AFCON 2027.


Hata hivyo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bwana Missaile Albano Musa, kwa niaba ya wakuu hao wa Taasisi,  amemkaribisha CPA. Makalla na kumuahidi ushirikiano katika kuwatumikia wananchi huku akiahidi kusimamia kwa karibu utekelzaji wa miradi ya kutoa  huduma muhimu za kijamii katika eneo unapojengwa uwanja utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TAMISEMI YA SAMIA; MAFANIKIO YANAONEKANA...

    October 10, 2025
  • DKT. SAMIA AMEBORESHA VIWANJA VYA NDEGE ARUSHA NA MANYARA KUKUZA UTALII NCHINI- RC MAKALLA...

    October 10, 2025
  • JE WAJUA??? HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA MKOA WA ARUSHA WAFIKIA ASILIMIA 93 ..

    October 09, 2025
  • KARATU DC YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2025

    October 06, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa