• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA AMSHUKURU MAMA ALIYETOA ENEO LA KUJENGA KITUO CHA AFYA BWAWANI...

Posted on: May 28th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda amemshukuru mama Halima Hzmad, aliyetoa eneo kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Kituo cha afya kata ya Bwawani, halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru.

Mhe. Makonda ametoa shukurani hizo, mara baada ya kupokea taarifa ya ujenzi wa kituo cha Afya Bwawani, kilichojengwa na Serikali kupitia Mfuko wa Mandeleo ya Jamii - TASAF kwa gharama ya shilingi milonimiloni, alipotembelea kukagua mradi huo Mei 28, 2024.

Amempongeza mama huyo, kwa moyo wake wa uzalendo na kujali wengine kwa kutoa eneo lake kwa ajili ya kuhudumia watu takribani elfu 14 na kumuombea  kwa Mungu ambariki na akumbuke sadaka yake


"Ninamshukuru sana mama Halima kwa kukubali kutoa eneo lake, sadaka hii ya thamani, Mungu aikumbuke kila atakayepona kwenye kituo hiki, ukapone wewe na uzao wako kama ilivyobarikiwa sadaka ya Abraham" Amesema Makonda


Aidha, ameipongeza Serikali ya awamu ya sita kwa jitihada zake za kuhakikisha huduma za afya zinasogezwa karibu na wananchi hususani ameneo ya pembezoni kama ilivyo kata ya Bwawani na kuonheza kuwa Serikali ya mama Samia inawajali watanzania wote na kuhakikisha wanapata huduma bila kujali umbali wa maeneo wanayoishi.


"Serikali ya awamu ya sita imehakikisha wananchi wanapata huduma karibu  na maeneo wanayoishi,  jambo ambalo linawapunguzia mzigo wa kutembea umbali mrafu pamoja na kupunguza gharama za usafiri pia.


Hata hivyo, mama Halima kwa niaba ya wananchi wa kata ya Bwawani, amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na kumuomba Mkuu wa Mkoa huyo, kufikisha zawadi ya kuku kwa Mama Samia kama ishara ya shukurani na upendo kwa namna alivyowathamini kwa kuwajengea kituo cha afya.


"Kata yetu haikuwa na kituo cha afya miaka mingi, mama Samia ameona umuhimu wetu na kutujengea Kituo cha afya, ametusaidia sana sisi wanawake wa Bwawani na familia zetu, tunakuomba mkuu wetu wa mkoa mpe salamu zetu mama Samia". Amesema Mama Halma

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa