• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA APIGA MARUFUKU WAUGUZI ARUSHA KUZUIA MAITI.....

Posted on: May 27th, 2024

Na Elinipa Lupembe

MKuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda amepiga marufuku tabia ya wahudumu wa afya katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya Arusha, kuzuia mwili wa marehemu kwa sababu ya ndugu kukosa pesa ya kulipa bili alizokuwa anadaiwa marehemu  alipokuwa anatibiwa.

Mhe. Makonda ametoa marufuku hiyo, wakati akizungumza na wahudumu wa afya wa hospitali ya Wilaya ya Monduli, alipotembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa miundombinu ya hospitali hiyo, leo Mei 28, 2024.

"Ni marufuku kwa wauguzi wote Mkoa wa Arusha, kung'ang'ania mwili wa mgonjwa aliyepoteza maisha kwa sababu ndugu zake hawana uwezo wa kulipa matibu aliyotumia wakati akiwa mgonjwa" Amesisitiza Mhe.Makonda

Aidha, ameweka wazi kuwa, kazi ya kutoa huduma ya afya sio kazi nyepesi bali kazi nzito inayohitaji hekima ya hali ya juu kwa kuwa, kazi hiyo ni mpango wa Mungu wenye lengo la kuokoa maisha ya watu na kufafanua kuwa, wananchi wanaokuja hospitali wanahitaji kupata faraja ya maneno mazuri yanayoashiria uponyaji kutoka kwa wauguzi.

"Tunapaswa kutambua, huduma ya utabibu ni ya pekee ambayo mtu anaweza kumuona Mungu na usiwe sehemu ya kumuonesha mgonjwa kuwa huponi lakini tunzeni siri za wagonjwa  na kuwahudumia, wanapofika kwenye vituo vyetu vya kutolea huduma za afya iwe sehemu ya faraja na uponyaji, wagonjwa wajisikie fahari kuhudumiwa katika hospitali zetu za Serikali" Amesema Mhe.Makonda.

Ameongeza kuwa licha ya changamoto zinazoikabili sekta ya afya ni vema watabibu wa Mkoa huo, kuwahudumia wagonjwa wakiwa na tabasamu na kwa upendo, na kuwa mfano bora kwa wauguzi wengine, ili  kuenzi heshima ya viongozi waasisi wa hapa Monduli Hayati Edward Lowasa na Edward Sokoine.

Hata hivyo, Mhe. Makonda ameipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi za kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo fedha za upanuzi wa majengo muhimu kwenye hospitali ya wilaya ya Monduli, majengo ambayo yanakwenda kukamilisha hadhi ya hospitali ya wilaya na kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma za afya ndani ya eneo lao.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa