• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AFUNGUA SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI YA UWASILISHAJI NA UHAMASISHAJI WA MATUMIZI YA TAKWIMU ZA SENSA YA WATU NA MAKZI YA 2022

Posted on: October 24th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K. Mongella amefungua Semina ya Waandishi wa Habari wa mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro ya uwasilishaji na uhamasishaji wa matumizi sahihi ya matokeo ya Sensa ya Watu  Makazi kisekta iliyofanyika  mwaka 2022

Mkuu huyo wa mkoa amefungua semina hiyo ya siku mbili inayofanyika kwenye ukumbi wa NSSF Kalolini mkoani Arusha leo 24.10.2023 na kuwapongeza waandishi wa habari kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kuelimisha na kuhamasisha wananchi kushiriki wkenye Sensa ya watu na Makazi 2022.

Amesema kuwa,Waandishi wa Habari ni sehemu ya Mafanikio ya Sensa ya Watu na Makazi 2022, elimu na hamasa waliyoitoa iliwafanya wananchi kuhamasika kushiri Sensa hiyo na kufanikiwa kwa zaidi ya asilimia 99

Hata hivyo amewataka waandishi hao kuendelea kushiriki awamu ya tatu ya Sensa hiyo ambayo inahusisha matumizi ya Takwimu sahihi za Sensa ya Watu na Makazi inayojumuisha idadi ya watu, idadi ya makazi na hali za Watu na Makazi, miundombinu, huduma za Jamii na maeneo yake, taarifa za kiuchumi na Kijamii

"Kama waandishi wa habari watatoa takwimu sahihi kwa kadri mtakavyojengewa uwezo na NBS, itaondoa changamoto za taarifa za upotoshaji ambazo zinatokana na watu kutokuwa na taarifa sahihi zinazosababisha migogoro isiyokuwa ya lazima kwenye jamii na Serikali" Amesema Mhe. Mongella.

PICHA ZA MKUTANO

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa