• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA MIUNDOMBINU YA SHULE YA SEKONDARI FLORIAN - KARATU..

Posted on: December 13th, 2023

Na Daniel Gitaro


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi  wa miundombinu ya shule ya  Sekondari Florian iliyopo Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.


Mradi huo unatekelezwa kwa fedha Kutoka Serikali Kuu, kwa ufadhili wa kampuni ya Barrick Gold Tanzania, ujenzi unaogharimu ya shilingi  Milioni 458.1, ukijumuisha ujenzi wa vyumba 7 vya madarasa, mabweni mawili na matundu 11 ya vyoo.


Mhe. Mongella amewataka wasimamizi wa mradi huo pamoja na mafundi kuhakikisha, mradi huo unakamilika kwa wakati na kwa viwango vinavyokubalika kutokana na maelekezo ya Serikali.


"Simamieni mradi huu, ukamilike kwa wakati na kwa kuzingatia viwango vya ubora, unaoendana na thamani ya fedha zilizotolewa na Serikali, ongezeni kasi ya usimamizi, ifikapo Janurai 2024 wanafunzi waanze masomo shuleni hapa". Amesisitiza Mhe. Mongella.


Akizungumza wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mradi huo kwa Mkuu huyo wa Mkoa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Karatu, Juma Hokororo, ametumia fursa hiyo kuishukuru Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kutekeleza na kuboresha miradi mbalimbali nchini.


“Tunaishukuru Serikali kwa kuendelea kuwajali wananchi wake, na kuwaletea miradi mbalimbali hususani Sekta ya Elimu lakini pia shukrani za dhati ziwaendee wananchi wote walioshiriki kufanya kazi za ujenzi wa mradi huu”. Amesema.


Aidha, mradi huo ukikamilika utasaidia kupunguza uhaba wa vyumba vya madarasa pamoja na msongamano wa wanafunzi darasani uliokuwepo na kuwezesha wanafunzi wote kukaa katika mazingira rafiki na kusoma kwa utulivu.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa