• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI YAJIPANGA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WA ENGUSEROSAMBU WILAYA YANGORONGORO..

Posted on: November 10th, 2023


Na Elinipa Lupembe.

Kufuatia mkakati wa Serikali ya awamu ya sita  ya viongozi kukutana na wanachi kusikiliza kero zao na kuweka mipango ya kuzitatua, jambo hilo limetekezeka na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella kwa kufanya mkutano wa hadhara na wananchi wa kata ya Enguserosambu na kusikiliza kero zao.

Katika mkutano huo Diwani wa kata ya Enguserosambu Mhe. Wiliam Oseitain Paremiria, amewasilisha changamoto zinazowakabili wananchi wa kata hiyo ikiwa ni pamoja na wananchi kukamatwa na Uhamiaji kwa kutuhumiwa kuwa sio raia wa Tanzania kutokana na kutokuwa na Vitambulisho vya Taifa(NIDA)

Ameiomba serikali kuwapa vitambulisho vya Taifa wakazi hao, ili kutatua changamoto hiyo ya kukamatwa inayoleta usumbufu mkubwa kwa wananchi na kuongeza kuwa wakiwa na vitambulisho vya Taifa, itaondoa udanganyifu kwa watu wasio raia ambao huingia nchini kinyemela.

"Vijiji vyetu viko mpakani, kuna muingiliano wa kijamii na kiuchumi na nchi jirani ya Kenya, Uhamiaji wanashindwa kutofautisha yupi ni raia hivyo ni vema wananchi wakapata vitambulisho vya Taifa ili kuondoa usumbufu kwa raia wetu wema"Amesema Mhe. Diwani

Akijibu hoja hizo, Mhe. Mongella amefafanua kuwa, Serikal imetatua changamoto zilizokuwa zinaikabili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa- NIDA na sasa tayari wameanza kutoa vitambulisho kwa watu ambao tayari walikwisha jiandikisha

Niwatoe wasiwasi, muda si mrefu NIDA wataanza kutoa vitambulisho kwenye wilaya na kuongeza kuwa mkoa wa Arusha umepokea zaidi ya vitambulisho 490 na vitagawanywa kwa watu ambao walikwisha jiandikisha mara vitakapowasili wilayani kwa utaratibu mzuri tofauti na hapo awali.

Hata hivyo amewataka wananchi hao kutii sheria na kujikita zaidi katika kufanyakazi halali za uzalishaji mali ili kujiingizia kipato huku wakitambua namna serikali  inavyopambana ili wananchi wake wapate huduma bora kwa kuwafikia katika maeneo yao.

"Nimefurahi sana kukutana na wananchi wa hapa,kwa niaba ya Mama Samia, ninawapongeza kwa kujitoa kwenu kufanya shughuli za maendeleo, mmeanza ujenzi wa shule ya sekondari, niahidi serikali haitawaacha peke yenu,  nitakuja kuwaunga mkono ili shule hiyo ikamilike na watoto wa Enguserosambu wasome hapa hapa kwa kuwa kila kata inatakiwa kuwa na shule ya sekondari" Amesisitiza Mhe. Mongella

Mhe, Mongella amewagiza TARURA kufanya usanifu kwenye barabara ya fupi ya kutoka Waso na kufahamu gharama za ujenzi wa daraja ili kuwarahisishia usafiri wananchi hao, ambao kwa sasa wanatumia barabara waliodai inazunguka  mpaka kufika kijijini hapo.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa