• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TAARIFA KWA UMMA/VYOMBO VYA HABARI: IBAADA MAALUM YA KUMBUKIZI YA MIAKA 40 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE

Posted on: April 11th, 2024

TAARIFA KWA UMMA/VYOMBO VYA HABARI

IBAADA MAALUM YA KUMBUKIZI YA MIAKA 40 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, inapenda kuutaarifu Umma kuwa, kutakuwa na Ibada Maalum ya Kumbukizi ya miaka 40 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, itakayofaanyika kesho tarehe 12  Aprili, 2024 nyumbani kwake, kijiji cha Enguik kata ya Monduli juu, Wilaya ya Monduli.

Viongozi Wakuu wa Chama na Serikali wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan watashiriki Ibada hiyo Maalum ya Hayati Edward Moringe Sokoine aliyefariki Dunia tarehe 12. 04.1984.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, anawakaribisha wageni na wananchi wote wa Mkoa wa Arusha kushiriki Ibada hiyo Maalum, kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa maisha ya Hayati Edward Moringe Sokoine aliyoishi duniani na kipindi chote alichowatumikia watanzania kwa nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya Waziri Mkuu.

Aidha,  wageni waalikwa na wananchi wote wanasisitizwa kufika eneo la Ibada mapema, kuanzia saa 12: 00 asubuhi mpaka saa 02:30 asubuhi,  ili kuruhusu shughuli za viongozi Wakuu wa Nchi na Kanisa kuwasili na kuanza Ibada kwa wakati.

Kudhuria kwenu ni muhimu ili kudumisha umoja na mshikamano wetu kwa maendeleo ya Mkoa na Taifa kwa ujumla.


Imetolewa na:Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali

OFISI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa