• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TANZANIA IMEJIPANGA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI

Posted on: September 2nd, 2024


Na Elinipa Lupembe 

Nchi ya Tanzania imejitolea na kuwa na mipango endelevu katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kupitia sera na mipanho mbalimbali iliyowekwa katika utekelezaji 



Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati akizungumza kwenye Jukwaa la 24 na Mkutano wa 35 wa Kamati ya Kudumu ua Fedha ya Mkataba wa Mabadiliko ya Tabia Nchi (UNFCCC), uliofanyika kwenye Kituo cha Kitamataifa cha Mikutano AICC ukumbi wa Simba Septemba 2, 2024.



Mhe. Dkt. Kijaji amesema kuwa, athari za mabadiliko ya tabia nchi  yanayosababisha mabadiliko ya hali ya hewa, ongezeko la joto, mvua zisizo za kawaida, dhoruba za kitropiki na mafuriko makubwa yanayoathiri uchumi na mifumo ya ikolojia za kijamii, zinahitaji juhudi za ziada na timu kuhwa inayojitoa kukabiliana nayo.



"Changamoto hizi zinasababisha hasara kubwa na uharibifu wa miundombinu muhimu ya maji, barabara, umeme na kilimo na kusababisha uhaba wa maji na chakula kwa matumizi ya binadamu na wanyama hivyo juhudi kubwa zinahitajika kukabilina na mabadiliko ya tabianchi" Amesema Dkt. Kijaji.



Licha ya kuwa Tanzania inajivunia kuwa mwenyeji wa mkutano huu muhimu, Tanzania imejitolea katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi,  kupitia sera mbalimbali ikiwa ni pamoja na Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021, Mpango Mkuu wa Mazingira wa Kitaifa wa Miaka ya Mkakati kutoka mwaka 2022 hadi 2032, pamoja na Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu ya mwaka 2024, na kuwa na mradi endelevu wa kupunguza athari za hali ya hewa.



Uimarishaji wa hali ya hewa katika maeneo yaliyoathirika na mafuriko, kukuza teknolojia za kupikia kwa kuhimiza matumizi ya nishati safi, kutekeleza usimamizi endelevu wa ardhi,kuimarisha maeneo ya pwani yanayokabiliwa na kupanda kwa kiwango cha bahari, mafuriko, na erosheni ya fukwe, kufungua uwezo wa uchumi wa buluu katika mifumo ya ikolojia ya pwani na baharini.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa