• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TUMEAMUA KUHAMIA MSOMERA KWA HIARI YETU; TUNAISHUKURU SERIKALI KWA KUTUPA MAKAZI MAPYA.

Posted on: January 25th, 2024


Theresia Sabore Moko,  aliyekuwa mkazi wa kata ya Enduleleni, wilaya ya Ngorongoro, akizungumza kwa niaba ya wanawake walioamua kuama kwa hiari na kupisha eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, wakati wa hafla fupi ya kuagana, iliyofanyika kwenye Ofisi za zamani za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro leo tarehe 25 Januari, 2024.


Theresia amempongeza na kumshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuziandalia familia zao makazi mapya nje ya eneo lHifadhi, eneo ambalo familia mara kwa mara zilikumbwa na changamoto ya kujeruhiwa na wanyama, na wengine walipoteza maisha kwa kushambuliwa na wanyama.


"Mimi na familia yangu, tumeamua kujiandikisha kwa hiari, kuhamia Msomera, eneo ambalo Serikali imetupa bure bila kutoa gharama yoyote,  tumeona ni eneo salama kwa maisha yetu na familia, zaidi tumeamua kuanza maisha mapya na kuanza kufanya shughuli za uzalishaji mali, shughuli ambazo tukiwa ndani ya Hifadhi hatukuruhusiwa kuzifanya kama vile kilimo" Amebainisha Theresia


Ameipongeza Serikali kupitia watalamu wake kwa kuwapa elimu, iliyowawezesha kufanya maamuzi sahihi kwa faida yao na watanzania wengine ili Hifadhi hiyo ya  Ngorongoro iweze kutunzwa na kubaki kwenye uhalisia wake kwa urithi wa vizazi hivi na vijavyo.


Ameongeza kuwa, walejiridhisha na eneo la Msomera wanalokwenda kuhamiq kwamba Serikali imejenga mindombinu yote muhimu ikiwemo ya afya na elimu, ambayo wana uhakikia watoto wao watapata elimu kwa uhuru.





Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa