• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TUMETEKELEZA ILANI YA CCM

Posted on: August 24th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia mwaka 2020 hadi 2025 kwa Mkoa wa Arusha na ameaidi Serikali itahakikisha ilani ya CCM inakamilika.

Mawasilisho hayo ameyafanya kwa Halmashauri kuu  ya chama  Mkoa wa Arusha, katika ukumbi wa mikutano wa CCM Mkoa.

Amesema kila baada ya miezi mitatu Serikali itatoa taarifa  ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya ambayo imo ndani ya ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

Aidha, amekiomba Chama hicho kuendelea kushirikiana na Serikali ya Mkoa katika kuleta maendeleo kwa wananchi hususani katika nyanja  ya kukuza mapato ya Halmashauri kwa kubuni vyanzo mbalimbali vya mapato.

Pia katika mpango wa kuwezesha kaya masikini (TASAF) amekiomba Chama kushirikiana na Serikali ili kuwabaini wanufaika husika wa mradi huo na kuwahamasisha wale waliokwisha kunufaika watoke wapishe wengine.

Akisisitiza zaidi Mhe. Mongella ameiyakikishia kamati hiyo ya Halmashauri kuu kuwa, kabla ya ukaguzi ujao miradi yote hususani ile ambayo serikali imetoa fedha zake inakamilika na kuanza kazi.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha Mhe. Zelothe Steven ameitaka Serikali kuhakikisha kuwa kila sehemu ambayo miradi inatekelezwa wahakikishe wananchi wanapewa taarifa za kina kuhusu miradi hiyo ili wajue jinsi itakavyowanufaisha.

Pia, amesema Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha hakitakubaliana na mtu yoyote atakaefanya ubadhilifu wa aina yoyote kwenye miradi hiyo na watamchukulia hatua stahiki.

 Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi imepokea taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kutoka Serikalini ikiwa ni moja ya utaratibu uliowekwa katika ilani  ya chama hicho wa kuikagua Serikali.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa