• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

Posted on: June 26th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa na Mbobezi kwenye magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi, amewasili Mkoani Arusha,usiku wa kuamkia leo na kupokelewa na Mganga Mkuu Mkoa wa Arusha, Dkt. Charles Mkombachepa, ili kuongeza nguvu ya yari kuwahudumia wananchi kwenye Kliniki maalum ya Madaktari Bingwa na Wabobezi, inayoendelea kwenye Uwanja vya Sheikh Amri Abeid, Jijini Arusha.


Prof. Janabi ni miongoni mwa Madaktari wanaoheshimika nchini Tanzania na mwenye uzoefu wa hali ya juu katika utabibu na taaluma yake, akitoa mchango mkubwa katika kushauri masuala ya afya pamoja na maboresho ya huduma za afya na ustawi wa jamii, akijitolea pia katika kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa lishe na mtindo bora wa maisha.


Mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro KIA, Profesa Janabi amesema akiwa Arusha atakuwa na majukumu makuu mawili, kupima na kutibu wananchi wa Arusha pamoja na kutumia muda wake kuelimisha jamii dhidi ya magonjwa yasiyokuwa ya kuambukiza ambayo anasema yanawatesa watu wengi zaidi na kusababisha vifo vya watu wengi.


Tayari timu ya madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wamekuwepo kwenye kambi hiyo tangu Jumatatu ya wiki hii na kuongezeka kwa Prof.Janabi ni mwanzo wa ahadi ya Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda @keanu.06 ya  kuongeza idadi ya madaktari kwenye kambi hiyo ili kuongeza kasi na ufanisi katika huduma za vipimo, matibabu na elimu ya afya ya jamii.





Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa