Mkoa wa Arusha umezindua Kitabu cha taarifa ya miaka miwili ya mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita.