• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAKUU WA WILAYA, WAKURUGENZI WATAKIWA KUSIMAMIA KIKAMILIFU UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE.

Posted on: February 14th, 2025

Wakuu wa wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya za Arusha wametakiwa kusimamia kikamilifu suala la lishe katika maeneo yao ili kuwa na Taifa lenye watu wenye afya bora pamoja na utimamu wa akili.



Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Dadi Kolimba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda katika kikao cha tathmini ya lishe Mkoa wa Arusha kilichofanyika leo tarehe 14 Februari, 2024 kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo.



Mhe. Kolimba amesema kuwa agenda ya Mheshiwa Rais ni kuhakikisha kila mtanzania anakuwa na afya njema ili kuweza kusaidia kuwa na Taifa lenye watu walio salama kiafya .



"Mheshiwa Rais ameingia mkataba na wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri ambapo imeenda mpaka kwa watendaji wa kata kwasababu ya usalama wa nchi yetu kuanzia usalama wa mama na mtoto kabla na baada ya kuzaliwa". Amesema.



Aidha amewaeleza wadau hao wa lishe kuangalia afua za lishe kila wilaya kuona kama zinatekelezwa ipasavyo.



Kwa upande wake Afisa lishe Mkoa wa Ausha, Dotto Milembe amesema kuwa taarifa ya utekelezaji ya viashiria vinavyosimamiwa na mkataba wa lishe kwa kipindi cha Julai 2024 mpaka Desemba 2025, Mkoa umetenga fedha kiasi cha shilingi  Milioni 947 kwaajili ya kutekeleza afua za lishe ambapo ni sawa na shilingi 2,490.4 kwa kila mtoto.



ameongeza kuwa,  tathmini ya lishe kwenye ngazi ya kata, Mkoa wa Arusha unafanya vizuri kwa kuwa mpaka sasa wameweza kuvuka lengo la Kitaifa katika suala la lishe.



Naye Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt. Charles Mkombachepa kwa niaba ya Katibu tawala wa Mkoa wa Arusha Missalile Albano Musa amepongeza Afua za lishe kwa kuendelea kufanya vizuri na kuwataka kuendelea kushika nafasi nzuri katika masuala ya lishe kimkoa.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • NDOTO YA RAIS SAMIA KWA ARUSHA: KUITUMIA FURSA YA UTALII KUINUA UCHUMI WA MKOA

    June 14, 2025
  • Halmashauri ya Wilaya ya Longido imeagizwa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato

    June 13, 2025
  • WILAYA YA KARATU YATAKIWA KUIMARISHA USAFI NA UKUSANYAJI WA MAPATO

    June 12, 2025
  • WILAYA YA NGORONGORO YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI.

    June 11, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa