• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAKUU WA WILAYA ZA MKOA WA ARUSHA WATAKIWA KUANDAA MKAKATI WA KUHAMASISHA UTALII

Posted on: May 24th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda amewaagiza Wakuu wa Wilaya za mkoa huo kuandaa Mpango Mkakati wa kuhamasisha Utalii katika maeneo yao.

Mhe. Makonda ametoa agizo hilo wakati akizungumza na  viongozi na watumishi wa wilaya ya Karatu, mara baada ya kupokea taarifa ya wilaya hiyo, iliyowasilishwa na Mkuu wa wilaya Mhe. Dadi Horace Kolimba, kikao kilichofanyika kabla ya kuanza ziara kwenye wilaya hiyo.

Amesema kuwa kila halmashauri ya wilaya inatakiwa kuandaa Mpango Mkakati wa kuhamasisha Utalii ikiwa ni pamoja na kuandaa Kanzi Data (data base), itakayoonesha vivutio vya utalii vilivyopo, idadi ya hoteli na hadhi zake pamoja na maeneo ya uwekezaji yanqyopatikana kwenye halmasahuri zote ili kuwa na uelewa wa pamoja, sambamba na kurahisisha watalii wa ndani na nje ya nchi na wawekezaji  kuzifahamu fursa hizo kabla ya kufika nchini.

Aidha, Mhe.  Makonda amefafanua kuwa uwepo wa Kanzi Data hizo  utawezesha wawekezaji na watalii kujua fursa zinazopatikana mkoani Arusha,  aina ya vivutio vya utalii, kambi za utalii na hoteli zilizopo,fursa za kilimo na biashara ambazo zitawezesha kila mmoja kunufaika pamoja na kuwarahisishia wawekezaji kufanya maamuzi wakiwa kwao lakini zaidi itafungua milango ya kiuchumi ya mtu mmoja mmoja, mkoa na Taifa.


"Ninatamani kila mwanarusha kuufahamu Utalii vizuri na kila mmoja kwa nafasi yake kuunga mkono juhudi kubwa zilizofanywa na Mhe. Rais Dkt. Samia Hassan Suluhu katika kutangaza fursa za utalii na vivutio vyake kupitia programu ya Royal Tour na Amazing iliyozinduliwa hivi karibuni nchini China, tukiufahamu Utalii tutazifahau fursa zake na kila mmoja atanufaika nazo kwa nafasi yake". Amesisitiza Mhe. Makonda


"Lazima tuwe na 'Data base' kwaajili ya wageni kujua idadi ya hoteli, kampuni za utalii aina za uwekezaji, fursa za biashara na kilimo ili wageni na wawekezaji wanaofika nchini wapate taarifa kupitia mfumo ili kuwezesha uchumi kukua" Amesema


Awali, Mhe. Kolimba amesema kuwa, wilaya hiyo ina jumla ya hoteli 74 na kambi za utalii 91 zinazosababisha wageni wanaotembelea Hifadhi ya Ngorongoro na kulala Karatu.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa