• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KWA KUJENGA ZAHANATI

Posted on: July 24th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Zaidi ya wananchi 4,210 wa kijiji cha Kilima Moja kata ya Rotia wilaya ya Karatu,  wameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt.Samia Suluhu Hassan, kwa kuwasaidi kukamilisha ujenzi wa zahanati na kuweza kupata huduma bora za afya karibu,  ikiwemo huduma za kinamama na mtoto sanjari na kuwapunguzia umbali kutembea umbali mrefu kutafuta huduma hiyo.


Wametoa shukrani hizo, wakati Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Godfrey Eliakimu Mnzava, alipofika kijijini hapo, kwaajili kukagua na kuwekaji wa Jiwe la msingi katika zahanati hiyo.


Christina Jakebi mkazi wa kijiji cha Kilimamoja, amekiri kijiji hicho kwa na changamoto ya muda ya mrefu ya upatikanaji wa huduma za afya hali iliyowasababisha kufuata huduma za afya kwenye hospital ya Kanisa la Lutheran  huku wajawazito wakijifungulia nyumbani na wengine njiani kutokana na umbali.


Christina ameshukuru uwepo wa zahanati hiyo, ambayo wanatarajia kupata huduma kwa ukaribu, hasa wakati wa usiku kwa wanawake wanaotaka kujifungua.


"Tunashukuru uwepo wa zahanati kijijini kwetu,  tunaomba ujenzi umalizike mapema ili huduma za afya zianze kutolewa kituoni, sababu Rais Samia Hassan Suluhu amedhamiria kuboresha huduma za afya kwa wa wananchi "


Naye Kiongozi wa mbio za mwenge uhuru Kitaifa, Godfrey Mnzava alisema  zahanati hiyo itasaidia wananchi kupata huduma za afya na kuwaagiza wakamilishe mradi  kwa wakati ili huduma za afya zianze kutolewa .


Amewasihi wananchi kujitokeza katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwa n8  uchaguzi muhimu ambapo viongozi mbalimbali wa Serikali wanachaguliwa na kuagiza wananchi wenye sifa za kugombea nafasi hizo hususaniwanawake na vijana. 


"Niwasihi wananchi mjitokeze kusikiliza Sera za kila Chama na hatimaye kuchagua viongozi bora ikiwemo mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria pamoja na kupambana na Rushwa na dawa za kulevya.


Akiwasilisha taarifa ya mradi, Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kilima Moja, Samwel Paulo amesema ujenzi huo ulianza mwaka 2019 kwa nguvu za wananchi wakijichangisha shilingi milioni 19 na hatimaye Serikali Kuu kuongeza milioni 50 na kufikia jumla ya milioni  69 .44.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa