• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WATUMISHI WA PEMBEZONI WAPEWE STAHIKI ZAO KWA WAKATI - MCHENGERWA...

Posted on: May 27th, 2024


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha watumishi wote wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu wanapata stahiki zao kwa wakati.

Waziri Mchengerwa ameyasema hayo wakati akizungumza na baadhi ya watumishi na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi  pamoja na wananchi katika ziara yake wilayani humo katikati ya juma hili.

Amesema nimejionea watumishi wanavyofanya kazi kwenye Hospitali ya wilaya ya Malinyi, wanafanya kazi kwa moyo, wanajitoa kuwahudumia watanzania sasa watumishi kama hawa na wale walioko kwenye maeneo mengine ya namna hii wasîkatishwe tamaa kwa kucheleweshewa stahili zao wapewe kwa wakati’

Sitaki kusikia mtumishi hajapanda daraja,sijui hajapewa fedha za likizo na marupurupu mengine nataka kuona watumishi wa pembezoni wote wanapanda madaraja kwa wakati na hili ni kwa Wakurugenzi wote nchini’ Amesisitiza

Na Nyie watumishi niendelee kuwatia moyo kuwa kazi mnayofanya  ya kuwahudumia watanzania ni ya muhimu sana kwa Taifa letu mnahakikisha maono ya Rais Dkt. Samia yanatimia kwa wananchi hawa wa pembezoni kupata huduma bora kama wale wa mjini niwahakilishie hapa mnapata thawabu kwa Mungu  aliongeza.

Sitapenda kuona mtumishi anayefanya kazi kwenye mazingira mahumi anasononeka au kuumia kwa kukosa stahiki zake kila Mkurugenzi ahakikishe watumishi wa maeneo kama hayo wanapata haki zao kwa wakati ili waweze kufanya kazi zao kwa amani’ alisisitiza Mchengerwa!



ortamisemi-20240527-0002.jpg

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa