MAJUKUMU
1.To asssist,coordinate backstopping and monitor operation and maintenance for water supply schemes in LGA's.
2. To facilitate LGA's in developing guidelines for operation and maintenance of water supply schemes in the repsective community projects and private operated schemes.
3.To facilitate provision of technical expertise to LGA's to suppport communities,institutions and private sector in operation and maintenance of water supply schemes.
4.Monitor and supervison of implementation of projects.
5.To coordinate, review and give recommendations on designs submitted by LGA's for water supply projects infrastructures.
6.To ccordinate and harmonize approaches for water sector implementation and standards of engineering for Urban and Rural water supply.
7. Representation of the Ministry of water in interpreting the National Water Sector Policies andf guidelines for Urban and Rural Water Supply.
8. Facilitating,coordinating and advice LGA's in implementation of NRWSSP activities including appraisal of Districts projects,Procurement of services from Contractors and Consultants and application of Public Procurement Act and Regulations, Budgeting and Financial Management.
9. To facilitate provision of linkage between LGA's ,other relevant authorities and the MoW in the planning and development of water sector components.
10. To facilitate provision of technical expertise and advice to LGA's in capacity building and support for community owned water supply organisation (COWSOs) in operation and maintenance of water supply schemes.
11. Helping LGA's in preparing the guidelines for implementation and rehabilitation of water projects i.e Design of water projects,preparation of Bill of Quantities (BOQ),preparation of Tender documents,Evaluation of bids,preparation of contracts documents,supervision and coordination of Construction of water schemes, setting out and surveying,attending different Regional Meetings, Planning and Budgeting.
Hali ya huduma ya Maji Vijijini
Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2012 inaonyesha kuwa Mkoa wa Arusha ulikuwa na jumla wakazi wapatao 1,694,310
Ilikadiriwa kuwa wakazi 1,363,262 walikuwa wanaishi maeneo ya Vijijini.
Kati ya hao, wakazi 815,230 walikuwa wanapata huduma ya maji sawa na asilimia 59.8.
Hadi kufikia mwezi Desemba 2016, Mkoa wa Arusha ulikadiriwa kuwa na wakazi 2,025,111 waishio maeneo ya vijijini.
Kati ya hao, wakazi 1,220,058 walikuwa wanapata huduma ya maji sawa na asilimia 60.2.
Hali ya Upatikanaji wa Huduma za Maji Mijini
Na |
Wilaya |
Mji/Jiji |
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Maji |
Mahitaji ya Maji (Lita/Siku) |
Kiasi kinachozalishwa (Lita/Siku) |
Wastani wa upatikanaji wa huduma ya maji Mijini (%) |
1 |
Jiji la Arusha
|
Arusha
|
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (AUWSA)
|
93,270,000 |
37,500,000 |
40.2 |
2 |
Arumeru
|
Usa River
|
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka USA RIVER
|
1,149,800 |
410,000 |
35.7 |
3 |
Karatu
|
Karatu
|
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Karatu
|
4,700,000 |
1,570,000 |
33.4 |
4 |
Longido
|
Longido
|
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Longido
|
1,050,000 |
228,000 |
21.7 |
5 |
Monduli
|
Monduli
|
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Monduli (MOUWSA)
|
1,337,280 |
720,000 |
53.8 |
6 |
Ngorongoro
|
Loliondo/Waso
|
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Loliondo
|
1,064,000 |
563,920 |
53.0 |
|
|
|
Jumla
|
102,571,080 |
40,991,920 |
40.0 |
Hali ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji Katika Mkoa wa Arusha
Jumla ya miradi 70 inatekelezwa.
Miradi ya vijiji 33 imekamilika na jumla ya vituo 404 vimeanza kutoa huduma ya maji na wakazi wapatao 137,048 wameanza kufaidika.
Miradi ya vijiji 37 ipo katika hatua mbalimbali za ujenzi na manunuzi ya Wakandarasi.
Ni matarajio yetu kuwa hadi kufikia Juni, 2017 miradi 20 iliyo katika hatua za ujenzi itakuwa imekamilika na wananchi wake watakuwa wakifaidika na huduma za miradi hiyo.
Ambapo;
Aidha,ipo miradi ya Vijiji 10 kwa kila Halmashauri kupitia Programu y maji vijijini.Awamu ya kwanza ambayo imetengwa sh. Bilioni 41 na tayari bilioni 23 zimelipwa kwa mradi iliyokamilika.Matarajio ni kukamilika ifikapo Juni 2018.
Utekelezaji wa miradi hii 4 itainua wastani wa upatikanaji wa huduma ya maji hadi kufikia 85% ifikapo 2019.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Sanduku la Barua: 3050 Arusha
Simu: 27 254 5608
Simu Nyingine: 027 254 4950
Barua Pepe: ras@arusha.go.tz
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa