• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

BIL. 250 ZIMETOLEWA NA SERIKALI KWA AJILI YA UNUNuZI WA VIFAA TIBA..

Posted on: November 6th, 2024

OR-TAMISEMI

Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 250 katika mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa tiba kwa maeneo yote ya kutolea huduma za Afya ya msingi katika Halmashauri zote 184 nchini.

Taarifa hiyo imetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange wakati akijibu swali la Dkt. Pius Chaya ,mbunge wa jimbo la Manyoni mashariki aliyetaka kujua mpango wa serikali wa kupeleka jokofu  la kuhifadhia maiti katika kituo cha Afya cha Nkonko.

Akijibu sawali hilo Mhe. Dkt. Dugange amemuelekeza mkurugenzi wa Halmadhauri ya Manyoni mkoa wa Singida kuweka kipaumbele cha ununuzi wa Jokofu katika kituo hicho cha Afya ili wananchi wapate huduma hiyo.


Aidha,Akijibu swali la pili la Mhe. Dkt. Chaya linalohusu serikali kujenga wa vituo vya Afya vya kimkakati nchini katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/25, Dkt. Dugange amesema serikali iko katika hatua za mwisho za kutoa fedha kwaajili ya ujenzi wa vituo vya kimkakati katika majimbo yote 214 nchini.


“Serikali ishatoa taarifa na maamuzi ambayo kupitia Rais wetu mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa majimbo yote 214 yatakwenda kujengewa vituo vya Afya na tayari tuko hatua za mwisho za kutoa fedha kwaajili ya kwenda kujenga vituo hivyo vya Afya lakini kuna majimbo 18 ambayo mpaka sasa hatujapata mapendekezo ya kata ambazo wanahitaji kujenga vituo vya Afya” Amesema

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.