Maelfu ya Wakazi wa Mkoa wa Arusha, wamejitokeza kwa wingi kuungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda Paul Makonda kushiriki Matembezi na Maombi ya Kuuombea Mkoa wao na Taifa, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 09, 2024.
Matembezi hayo yameanzia eneo la mzunguko wa Impala kuelekea Mzunguko wa Clock Tower kuelekea Barabara ya Sokoine (Uhuru Road) mpaka mnara wa Mwenge (Azimio la Arusha) ambapo maombi Maalumu yatafanyika.
Kauli Mbiu "Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara; Uongozi Madhubuti na Ushirikishwaji Wananchi ni Msingi wa Maendeleo yatu"
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.