Picha ya pamoja
Kushoto, Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Festo Shemu Kiswaga, Mkuu wa wilaya ya Lingido Mhe. Mhe.Marco Ng'umbi, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda na Mkuu wa wailaya ya Karatu Dadi Horace Kolimba, wakiagana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi Bara, Ndugu John V K Mongella, muda mfupi kabla ya kukabidhi Ofisi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda @baba_keagan asubuhi ya leo Aprili 8, 2024.
#arushafursalukuki
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.