Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mkuu wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ametembelea na kukagua maendeleo ya maandalizi ya Maonesho ya NaneNane na Sherehe za Wakulima Kanda ya Kaskazini, yanayofanyika kwenye viwanja vya NaneNane Njiro Jijini Arusha mapema leo Agosti 01, 2024.
Mhe. Babu akiwa kwenye Banda la Kilimo la wilaya ya Siha, amejionea namna wakulima wameweza kutekeleza mnyororo wa thamani kwa kuyaonhezea thamani mazao ya ndizi, kahawa na alizeti kufikia kilimo biashara.
Kauli mbiu:"Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi"
Nyote mnakaribishwa
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.