• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RCC YAPOKEA OMBI NA PENDEKEZO LA KUFUTA MAMLAKA YA MJI MDOGO NGARAMTONI

Posted on: December 19th, 2024

Na Elinipa Lupembe 



Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kimepokea mapendekezo kutoka Halmashauri ya Arusha yaliyojielekeza kufutwa kwa Mamlaka ya Mji Mdogo wa  Ngaramtoni, kutokana na gharama kubwa za uendeshaji wa Mamlaka hiyo, kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemba 18, 2024.



Akiwasilisha mapendekezo hayo kwenye kikao hicho, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha, Suleiman Msumi, amesema uamuzi huo unatokana na malalamiko ya wananchi ambao wamedai  gharama ya huduma za uendeshaji wa Mamlaka ya mji huo mdogo kuwa kubwa



Amesema malalamiko hayo yalitolewa kwenye mikutano mbalimbali ya hadhara ikiwemo iliyofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Chtistian Makonda aliyembatana na Mwenyekiti wa  Chama cha Mapinduzi Mkoa wa (CCM) kwaajili ya kusikiliza kero za wananchi,ambapo mionhoni mwa kero, wananchi walilalamikia gharama kubwa  uendeshaji wa Mamlaka ya mji mdogo na kuomba ifutwe.



Aidha, amebainisha kuwa, Halmashauri ilipokea malalamiko ya wananchi ambao walionyesha kuwa hawakotayari kuwepo kwa Mamlaka hiyo na kulazimu halmashauri kuanza mchakato wa vikao vya maoni kuanzia ngazi za vijiji na hatimaye kuwasilishwa kwenye kikao cha Kamati ya fedha na Baraza la Madiwani na hatimaye kufikishaa kwenye kikao cha Ushauri cha Wilaya (DCC)



Msumi ameendelea kueleza kuwa, baada ya vikao hivyo kutoa pendekezo hilo,  halmashauri imewasilisha kwenye kikao Kamati ya Ushauri Mkoa ili kuwasilisha ombi hilo Ofisi Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI )kwa hatua zaidi.



Akichangia hoja hiyo, Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu Mhe. John Maha, ameomba halmashauri zao zipandishwe hadhi na kuwa manispaa  kwa kuwa kuna faida zikipandishwa hadhi na kuwa manispaa.



Ameshauri iundwe Kamati ya Mkoa itakayokuwa ikipendekeza halmashauri kupandishwa hadhi na kuongeza kuwa hata Karatu nao wana Mamlaka ya mji mdogo.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.