• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WAATHIRIKA WA MAPOROMOKO YA TOPE HANAN'G WAKABIDHIWA NYUMBA ZA KUISHI

Posted on: December 20th, 2024

Na Elinipa Lupembe 



Familia zilizoathirika kufuatia maporomoko ya matope yaliyotokea wilaya ya Hanan'g eneo la Kateshi mkoani Manyara, maafa yaliyotokea Desemba, 2023, na kusababisha baadhi ya watu 700 kukosa makazi, wamekabidhiwa nyumba za kuishi na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa leo, Desemba 20, 2024 kwenye kitongoji cha Waret.



Mhe.Majaliwa amekabidhi nyumba 109 kwa waathirika wa maafa hayo na akisisitiza kuwa hiyo ni ishara ya upendo na kujali kwa Mhe.  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.



Akizungumza mara baada ya kukabidhi na kuzindua nyumba hizo, Waziri Mkuu amesema kuwa Mhe. Rais ametoa pole kwa waathirika wote na amesisitiza kuwa Serikali itaendelea kuwaunga mkono ili waweze kurejesha mfumo wa maisha yao kama ilivyokuwa awali.



"Ujenzi wa nyumba 73 kati ya 109 umegharamiwa na Serikali Kuu na kujengwa na Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA-JKT), nyumba nyingine 35 zimejengwa na Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania huku nyumba moja ikijengwa na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UWT)" amebainisha.



Ameongeza kuwa, kufuatia maafa hayo, nyumba 109 zilihitaji kujengwa upya kwa haraka kwa kuzingatia athari hizo, na kwa upendo wake, Mhe. Rais  alitoa maelekezo ya kujenga nyumba bora na za kudumu katika eneo salama kwa waathirika waliopoteza makazi yao na kusisitiza kuwa, ujenzi huu ni ishara ya kujali, upendo na dhamira ya Serikali ya kuendelea kuwa pamoja na wananchi hususani wakati wa shida.



Hata hivyo, Mhe Rais Dkt. Samia alitoa fedha, kiasi cha shilingi Bilioni 1.38 kwa ajili ya kuweka huduma za kijamii ikiwemo umeme, maji na barabara za uhakika, kwa lengo la kuhakikisha kila nyumba inafikiwa na huduma hizo muhimu.



Awali, Mhe.Majaliwa amewaagiza viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanan'g, kuratibu zoezi la ugawaji wa viwanja vya ziada vilivyopo katika eneo hilo ili kuendeleza eneo hilo liwe na wakazi mchanganyiko sio wale walioathirika peke yao.



 “Tunataka eneo hili lisitambuliwe kama makazi ya waathirika, bali kijiji rasmi chenye huduma zote muhimu za kijamii na liwe kielelezo cha maboresho ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wote"


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.