Posted on: February 28th, 2025
Mkoa wa Arusha tayari umeanza shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha siku ya Wanawake duniani kinachotarajiwa kufanyika Machi 08, 2025 kwenye uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha m...
Posted on: February 28th, 2025
Siku ya Wanawake Duniani 2025, kufanyika Arusha Machi 08, 2025 na Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
...
Posted on: February 28th, 2025
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Alhamisi Februari 27, 2025 ameipa mwezi mmoja Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU mkoa wa Arusha kuhakikisha wanafanya uchunguzi, kuwa...