Posted on: August 11th, 2020
Viongozi wa Mkoa wa Arusha wametakiwa kuhakikisha wanatekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kuhakikisha usafiri wa Treni unafiki katika Mkoa wa Arusha kwa usalama.
Ameyasema ...
Posted on: August 10th, 2020
Naibu waziri wa mifugo na uvuvi Abdallah Ulega amewataka watanzania kupenda kutumia vitu vya kwao ili kukuza soko na kuvipa thamani.
Ameyasema hayo alipokuwa akifunga maonesho ya sherehe za nanenan...
Posted on: August 8th, 2020
Wananchi wa Kijiji cha Lemoot wametakiwa kuhakikisha Watoto wao wanapatiwa elimu hasa wasichana ili kuwasaidia ndoto zao walizo nazo ziweze kutimia.
Ameyasema hayo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimant...