Posted on: February 23rd, 2023
Waratibu wa lishe ngazi ya Mkoa na Halmshauri Mkoani Arusha wametakiwa kwenda kutoa elimu ya lishe katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye nyumba za Ibada, mashuleni,minadani na kwenye kamati za lishe...
Posted on: February 13th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Karatu Dadi Kolimba amewataka wananchi wa Karatu hususani wanaofanya kazi za kilimo katika bonde la Eyasi kutunza miti iliyopandwa kwa lengo la kulinda chanzo hicho cha Maji.
Ames...
Posted on: February 10th, 2023
"Hakikisheni mikopo mnayokopeshwa mnarudisha tena kwa wakati,hii itasaidia kujijengea imani yakuweza kukopeshwa tena".
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella alipokuwa akikabi...