Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, anatarajiwa kuwaandalia hafla ya futari (Iftar) wananchi wa Arusha, viongozi wa dini na wazee wa mkoa huu. Iftar hiyo imepangwa kufanyika tarehe 27 Machi 2025 katika viwanja vya ofisi ya mkoa wa Arusha.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa