Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) na mlezi wa CCM Arusha,Rajabu Abdallah, akitembelea Mradi wa Hospitali ya Wilaya ya Meru wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya CCM ngazi ya Mkoa.Maadhimisho hayo yamefanyika leo Januari 4,2025 katika Viwanja vya Soko la Tengeru,Kata ya Akheri wilayani Arumeru mkoa wa Arusha.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa