• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MAKALLA AWATEMBELEA VIONGOZI WA DINI..

Posted on: September 1st, 2025

 _Lengo ni kujitambulisha na kuomba ushirikiano.

. Asema ushirikiano wa serikali na  Taasisi za dini ni muhimu._

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla @amosmakalla Leo Jumatatu Septemba Mosi, 2025 amefanya ziara ya kuwatembelea viongozi wa Dini Mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na  kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali.

Ziara ya mkuu wa mkoa ni muendelezo wa ziara zake za kujitambulisha na kupata taarifa za taasisi mbalimbali katika mkoa wa Arusha.

Katika ziara hiyo kwa Askofu wa tatu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati Askofu Dkt. Godson Abel Mollel, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Sheikh Shaaban Juma Abdallah na Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie M. K wa Kanisa la Ngurumo ya Upako, Mhe. Makalla amewaomba pia Viongozi hao ushirikiano  pamoja na kuliombea Taifa la Tanzania ili liendelee kuwa na Amani na utulivu.

Kwa upande wao Viongozi hao wa dini, mbali ya kumshukuru Mhe. Makalla kwa kuwatembelea, kujitambulisha na kuomba ushirikiano nao, wameahidi kumpatia ushirikiano wa kutosha katika kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Arusha, wakiahidi kuendelea kuhubiri kuhusu amani, upendo na mshikamano wa jamii hasa wakati huu ambapo Taifa linaendelea na Kampeni kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Viongozi hao wa dini kadhalika walipata fursa  ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na wasaidizi wake wote ili Mungu aendelee kuwapa baraka, hekima, maarifa na utashi zaidi katika kuwaletea watanzania maendeleo.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA AUNDA TUME KUFUATILIA SAKATA LA MACHINJIO NGORBOB ARUMERU..

    September 09, 2025
  • WAMAREKANI WATALII KWA WINGI TANZANIA- KAIMU BALOZI MAREKANI TANZANIA..

    September 11, 2025
  • RAIS SAMIA KUZIUNGANISHA MONDULI NA NGORONGORO KWA BARABARA YA LAMI..

    September 10, 2025
  • KILA LA KHERI DARASA LA SABA 2025..

    September 10, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa