• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AAGIZA TANESCO NA TEMESA KUFUNGA UMEME MKUBWA HOSPITALI YA WILAYA KARATU....

Posted on: December 1st, 2023

Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ameuagiza uongozi wa  TANESCO mkoa na wialaya ya Karatu, kushirikiana na TEMESA, ili kufanikisha zoezi la kufunga umeme mkubwa 'phase 3' kwenye hospitali ya wilaya ya Karatu, ili mashine zilizofungwa hospitalini hapo hususani mashine ya mionzi 'X- ray', ianze kufanya kazi ya kutoa huduma, kwa wananchi kama yalivyo malengo ya Serikali.


Amesema kuwa, Serikali imeshaleta vifaa tiba kwenye hospitali hiyo, lakini bado vinashindwa kutoa huduma kwa wananchi, kwa  kukosekana na umeme wenye uwezo wa kuendesha mashine hiyo, jambo ambalo halivumiliki, na kusisitiza kuwa, hali hiyo ni kutokuwatendea haki wananchi wa Karatu.


"Mashine ipo hapa, nini kinashindikana kufunguza umeme unaohitajika? TANESCO shirikianeni na TEMESA, kuhakikisha vifaa vinavyohitajika vinafungwa, ninawapa wiki mbili, nitarudi hapa, umeme uwe umefungwa na X - ray iwe imeanza kuhudumia wananchi, tuwahurumie wananchi hawa" Asemema


Aidha amewataka watumishi wa Umma, kila mmoja kuwajibika katika nafasi yake, na kusisitiza kuwa Serikali imewaajiri na kuwapa dhamana kupitia taaluma zao, kulitumikia Taifa, wakiwa na jukumu kubwa la kuwahudumia wananchi, wasipo wajibika, wanaoteseka ni wananchi.


"Mtumishi anaposhindwa kuwajibika kwenye nafasi yake, wanaoteseka ni wananchi, vifaa hivi viko hapa muda mrefu, kuna mtu au watu wameshindwa kutimiza wajibu wao, kama kila mtumishi wa Umma akitimiza wajibu wake, tutafikia malengo ya Serikali ya kuwahudumia wananchi" Ameweka wazi Mhe. Mongella


Amesisitiza kuwa, Serikali chini ya Mhe Rais Dkt. Samia, inapamaba sana kuhakikisha miundombinu ya kutolea huduma kwa wananchi inawekwa karibu na wananchi, watumishi fanyeni kazi, timizeni majukumu yenu ili kumuunga mkoa Rais na Serikali ya awamu ya sita yenye malengo na nia njema ya kuwahudumia watanzania na wanaKaratu.


"Ninarudia tena na tena kusema, wananchi wanahitaji suluhisho za changamoto zao na sio michakato ya kutatua changamoto, wananchi hawaielewi michakato ya manunuzi, hayo ni mambo yenu, wanachohitaji ni huduma, wajibikeni ili kupata suluhisho la changamoto za watanzania" Amesisitiza Mhe. Mongella.


#ArushaFursaLukuki


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa