Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, akimkabidhi zawadi zenye asili ya kitanzania Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Balozi Charlotta Ozaki Macias, muda mfupi baada ya kukamilisha mazungumzo mafupi yaliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo mapema leo Jumatano Novemba 20, 2024.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa