• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WANAWAKE ARUSHA WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI; WAKIJIVUNIA MAFANIKIO YA KIFKRA NA KIUCHUMI

Posted on: March 8th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Wanawake mkoa wa Arusha washerehekea siku ya Wanawawake Duniani huku wakijivuni mabadiliko makubwa, kifkra yanaenda sambamba na mafanikio katika sekta ya uchumi na kijamii, mafanikio ambayo yamechangia kukuza pato la familia, jamii na kuchangia maendeleo ya nchi.


Hayo yamesemwa na Mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuella Kaganda, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, sherehe zilizofanyika kwenye Viwanja vya Ngarenaro, Jijini Arusha.


Amesema kuwa, kumekuwa na mabadiliko makuwa ya kwa wanawake ya kifkra, kijamii na kiuchumi, yanayotokana na uwepo wa mikakati thabiti ya uwezeshwaji wanawake, mikakati ambayo imeendelea kuleta matokeo chanya, na kuwawezesha wanawake kujikomboa kutoka katika wimbi la unyanyaswaji na ukandamizwaji, uliokuwa umetawala jamii nyingi kutokana na mila na desturi kandamizi za jamii.


Ameeleza kuwa, mafanilio hayo yametokana na jitihada kubwa, zinazofanya na Serikali  ikiwa ni pamoja na kuwa Sera na mikakati jumuishi ya kumuwezesha mwanamke kujikwamua, iliyokwenda sambamba na utoaji elimu ya ujasiriamali pamoja na utoaji wa mikopo ya asilimia tatu isiyokuwa na riba.


"Serikali ya awamu ya sita, imeendelea kumsimamia mwanamke na kuhakikisha anakuwa jasiri na mwenye uwezo kwa kuitimikia jamii na taifa lake, sote tu mashahidi, utoaji wa mikopo isiyokuwa na riba imewawezesha wanawake kuanzisha biashara ndogo na kubwa na kuwafanya wanawake  kujikwamua kiuchumi na kijamii" Ameweka wazi Mhe. Emmanuela.


Mhe.Emmanuela amesema kuwa, Maadhimisho haya, ya Siku ya wanawake yamekuwa ni chachu ya maendeleo na mafanikio ya wanawake, licha ya kuwaunganisha na kuwakutanisha pamoja, yamefanikisha pia kuunganisha nguvu za Asas za kijamii na ujasiri zenye kuleta ubunifu katika teknolojia jumuishi, inayoweza kufikiwa katika kupambana na ubaguzi wa kijinsia ili kuwa na jamii inayoweza kukemea na kuchukua hatua za unyanyaswaji wa wanawake na watoto wakike.


"Leo hii ni rahisi kukuta mwanamke ametoka ndani na anafanya bishara jambo ambalo hapo awali halikuwepo, tunashuhudia wanawake wa jamii ya kimaasai, wakifanya biashara huku wanaume wakiwaunga mkono, ni jambo la kujivunia sana, ni ukombozi wa kifkra na kiuchumi pia" Amesema


Aidha amewakumbusha wanawake kutambua majukumu yao ya malezi ya familia kwa kuwasisitiza kuwa, mafanikio hayo yaende sambamba na kutimiza majukumu yao kwa jamii, ikiwa ni pamoja na kusimamia maadili yanayoendana na tamaduni za kitanzania pamoja na kusimamia haki za watoto kwa usawa bila kumuacha nyuma mtoto wa kiume ambaye kwa sasa yuko kwenye hatari kubwa.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa