• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

ARUSHA NA SWEDEN ZAKUBALIANA KUENDELEA KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA ELIMU MKOANI ARUSHA.

Posted on: November 20th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Balozi Charlotta Ozaki Macias, muda mfupi  baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo mapema leo Jumatano Novemba 20, 2024.



Mhe. Balozi Charlotta licha ya kusaini kitabu cha wageni, amafanya makubalino na Mhe. Makonda akimuahidi kuendeleza mahusiano ya muda mrefu yaliyopo kati ya pande hizo mbili hasa katika kuwanufaisha wananchi wa pande hizo mbili kisekta.



Balozi Charlotta yuko mkoani Arusha akiwa ameambatana na wadau wa Shirika la Kimataifa kutoka Umoja wa Ulaya linalofadhili miradi ya Elimu (GPE) kwa lengo la kukagua utekelezaji na maendeleo ya miradi hiyo,  iliyogharimu zaidi ya Bilioni 4 kwaajili ya kusaidia maendeleo ya sekta ya elimu katila mkoa wa Arusha



Hata hivyo Mhe. Makonda ameahidi kuhakikisha kuwa miradi hiyo inafanya kazi kama ilivyotarajiwa ya kuhakikisha wanafunzi wanasoma kwenye miundombinu bora na rafiki muda wote ili kurahisisha tendo la kufundisha na kujifunzia.



Awali, GPE inaongozwa na Mwenyekiti wa bodi na Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete linatoa ufadhili wa elimu kwa wadau mbalimbali katika kuimarisha mifumo bora ya elimu kwa nchi zaidi ya 89 ikiwemo Tanzania, ambapo huyaweka pamoja mataifa yanayoendelea, wafadhili, mashirika ya kimataifa na sekta binafsi na Umma ili kusaidia uboreshaji wa Elimu kote duniani.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.