• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

CCM ARUSHA WATUMA SALAMU KWA MHE. RAIS DK. SAMIA SULUHU HASSAN ..

Posted on: February 5th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, wamemtumia salamu za pongezi na shukurani kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wamemkabidhi Tuzo ya Heshima kwa Mgeni rasmi na kumuomba awafikishie tuzo hiyo kwa kiongozi huyo.


Akiielezea Tuzo hiyo, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, Ndg. Loy Thomas Ole Sabaya amesema kuwa, hiyo ni ishara ya upendo na shukurani kwa kiongozi huyo mkuu wa Chama, kwa uongozi wake mahiri wenye upendo na kujali wananchi wake, uliowezesha kutekeleza Ilani ya Chama kwa vitendo kwa kasi kubwa na matokeo yake yanaonekana wazi katika mkoa wa Arusha.


Amesema kuwa, Mkoa wa Arusha umependelewa sana, Mhe. Rais  licha ya kutekeleza miradi ya takribani Bilioni 818.63 kisekta kwa kipindi kifupi cha miaka mitatu, ameweza kusimamia kufufua uchumi wa mkoa wa Arusha, uchumi ambao ulianda kudidimia kwa miaka michache ya nyuma lakini sasa umeinuka kwa kasi, ukiwanufaisha na kuwaneemesha wananchi wa mkoa huo.


Kila mtu ni shuhuda, Kupitia Filamu ya Royal Tour, Hali ya utalii imeimarika, kumekuwa na ongezeko kubwa la watalii, wanaotembelea vivutio vya utalii katika mkoa wa Arusha kwa kuunganisha misimu yote.

 mwaka mzima kwa kuzingatia kwamba 80% ya shuguli za utalii nchini zinafanyika Arusha, huku uchumi wa mkoa wa Arusha, ukitegemea.


Hakuishia hapo, mheshimiwa Rais, ameufungua mkoa wa Arusha, uwepo wa Mikutano mikubwa ya kitaifa na kimataifa, umewafanya wakazi wa mkoa wa Arusha kuwa bizy muda wote kupikea wageni, huku wakinufaika kwa kujipatia kipato na kupandisha pato la mkoa pia.


"Nichukue fursa hii, kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Arusha, hususani wanaCCM, tunakuomba utufikishie salamu zetu za shukani kwa Mheshimiwa Rais wetu, mwambie Arusha tuko salama, tuko nyuma yake, hatutamuangusha, tunapiga kazi, huku Kazi Inaendelea" Amebainisha Mwenyekiti Ole Sabaya.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.