Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Iddi Kimanta amewashauri wananchi wa Mkoa wa Arusha kutoa ushirikiano kwa timu ya mpira wa miguu ya Mko (Arusha Football Club,AFC), kwa kuwa wadhamini na kuiwezesha timu hiyo kuweza kusonga mbele katika ligi mbalimbali.
Ameyasema hayo alipokuwa akishuhudia makabidhiano ya hundi ya shilingi Milioni 24 kutoka kwa wadhamini wapya kampuni ya Mineral Oil Corporation Limited.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.