Mkuu wa Wilaya ya karatu Mhe. Dadi Kolimba akizungumza na Wananchi kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM), alipomuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, sherehe zilizofanyika leo 04 Januari, 2024 kwenye viwanja vya Soko la Tengeru, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.