• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

DC MKALIPA AFUNGUA TAMASHA LA UHAMASISHAJI KWA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Posted on: September 22nd, 2024


Mkuu Wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Amir Mohamed Mkalipa amefungua rasmi Tamasha la kuhamasisha wananchi kujitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu Tarehe 27 Novemba 2024, lililofanyika Septemba 21, 2024, lililofanyika kwenye viwanja vya Ngareselo halmashauri ya Meru, mkoa wa Arusha



Mhe. Mkalipa katika Tamasha hilo amewataka wananchi wote wa Halmashauri hiyo kujitokeza tarehe 11 hadi 20 mwezi Oktoba,  2024 kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura pamoja na kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa ifikapo mwezi Novemba 2024. 



Ameeleza kuwa GN kwa maana ya mikapa ya maeneo imeshatangazwa na vituo vya kupigia kura  vimeshatambuliwa na kubandikwa kwenye Kata, Vitongoji na Vijiji. 



Pia, Mkalipa ameeleza kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 utakuwa ni uchaguzi wa Haki na Amani hivyo wananchi wahakikishe wanajitokeza kujiandikisha. 



" Kati ya sifa za mwananchi kumwezesha kuweza kupiga kura lazima awe na sifa zilizoainishwa ikiwa ni pamoja na kuwa mwananchi huyo awe amefikisha miaka 18, awe Raia wa Tanzania lakini awe Mkazi wa Eneo husika" amesema Mkalipa 



Mwisho Mhe. Mkalipa ameeleza kuwa suala la kuhamasisha uchaguzi ni suala la kila mtanzania hivyo wananchi wote wachukue jukumu la kuhamasisha suala la uchaguzi wa serikali za Mitaa



Tamasha hilo lililofanyika katika Viwanja vya Ngarasero Kata ya Usariver likiambatana na michezo mbalimbali kama Matembeze ( Jogging), mpira wa Miguu, kukimbiza kuku, kukimbia na yai na michezo mingine.Tamasha hilo limepewa jina la KIMBIA KIUCHAGUZI NA MERU DC. 



Kauli Mbiu " Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitoteke kushiriki Uchaguzi"


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.